Basi imani inatoka kwa kusikia, na kusikia kwa Neno la Kristo. — Warumi 10:17
Mungu ni upendo; na yeye aliye kaa katika upendo yu kwa Mungu, na Mungu yu ndani yake. — 1 Yohana 4:16
Nasi tusipokua na imani, Mungu yu mwaminifu; hataweza kujikana. — 2 Timotheo 2:13
Basi imani inatoka kwa kusikia, na kusikia kwa Neno la Kristo. — Warumi 10:17
Mungu ni upendo; na yeye aliye kaa katika upendo yu kwa Mungu, na Mungu yu ndani yake. — 1 Yohana 4:16
Nasi tusipokua na imani, Mungu yu mwaminifu; hataweza kujikana. — 2 Timotheo 2:13

TUKIO MUHIMU

Tazama Video Zingine

WANA SINODI JM

TUKIO MUHIMU

Kuhusu Sisi

HISTORIA YA KANISA LA MORAVIAN TANZANIA

Kanisa la Moravian liliundwa mwaka 1457 na wafuasi wa shahidi John Hus, kama Umoja wa Ndugu. Dhehebu hilo lilikuja kujulikana kama Kanisa la "Moravian" miaka mingi baadaye, katika Karne ya Kumi na Nane, kwa sababu washiriki wake wengi walitoka jimbo la Moravia, ambalo sasa ni Jamhuri ya Cheki. Kanisa la Moravian mara nyingi limesimama mbele ya ulimwengu wa Kiprotestant. Dhehebu hilo lililokuwa miongoni mwa watu wa kwanza kuchapisha Biblia katika lugha ya kawaida.

Kanisa la Moravian Tanzania (KMT) ni muungano wa majimbo ya Kanisa la Moravian nchini Tanzania. Idadi ya Wakristo wake imekadiriwa kuwa 738,000.

Picha ya Askofu
Leadership
Picha ya Askofu

Sikiliza na Tazama

Wasiliana na redio yetu ya mtandao na tazama matangazo yetu ya TV. Jiunge na ibada, mafundisho na programu za kanisa kutoka popote.

Redio ya Mtandao

Sikiliza Radio and stay connected through our spiritual broadcasts everywhere you go.

TV ya Mtandao

Tazama Moja Kwa Moja services, sermons, and exclusive visual programs directly from your devices.

Hotuba za Hivi Karibuni

Fuatilia hotuba zetu za hivi karibuni na mafundisho. Tunashiriki Neno kupitia huduma za ibada, somo la Biblia, na ujumbe maalum kukuthamini na kukupatia imani.

Tazama Hotuba Zote

Hakuna hotuba zilizopatikana bado

Matukio

Matukio Yanayokuja

Hakuna matukio yaliyopatikana kwa sasa

Ushuhuda

Hakuna ushuhuda uliopatikana kwa sasa

Ofisi ya KMT

Uongozi wa Ofisi ya KMT

Watu wa ofisi kuu wa Kanisa la Moravian Tanzania.

Ask. R.Y Pangani
Askofu Jimbo la Kusini Magharibi

Ask. R.Y Pangani

Ask. E. Yonah
Askofu Jimbo la Magharibi

Ask. E. Yonah

ASK. L.A Mwankunga
Askofu Jimbo la Mashariki

ASK. L.A Mwankunga

Ask. C.N. Sikombe
Askofu jimbo la Rukwa

Ask. C.N. Sikombe

Ask. C.N. Sikombe
Askofu kiongozi KMT

Ask. C.N. Sikombe

Ask. Sikana
Askofu mteule Jimbo la Mbozi

Ask. Sikana

Mch. M. kategile
Katibu Mkuu KMT

Mch. M. kategile

Ask K.S. Panja
Makamu wa Askofu kiongozi KMT

Ask K.S. Panja

Dada. B. Mambwe
Mhazini Mkuu KMT

Dada. B. Mambwe

Mch. I. Siame
Mwenyekiti Jimbo la Kaskazini

Mch. I. Siame

mch. Y. Mwasambora
Mwenyekiti jimbo la Kusini

mch. Y. Mwasambora

Mch. E. Mtunda
Mwenyekiti jimbo la Magharibi

Mch. E. Mtunda

Mch. B. Mwakalinga
Mwenyekiti Jimbo la Mashariki

Mch. B. Mwakalinga

Mch. L. Nzowa
Mwenyekiti Jimbo la Mbozi

Mch. L. Nzowa

Mch A. Mwaikole
Mwenyekiti Jimbo la Rukwa

Mch A. Mwaikole

Mch. A.T. mbulwa
Mwenyekiti jimbo la Ziwa Tanganyika

Mch. A.T. mbulwa